Msafara wa Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Ruge mkoani Mara Wazuiliwa kwa Kupigwa Mabomu



Msafara wa aliyekuwa mbunge wa viti maalum (Chadema), Catherine Ruge mkoani Mara amezuiliwa kwa kupigwa mabomu na jeshi la polisi.

Mabomu hayo yalianza kurindima wakati akirejesha fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Serengeti kupitia Chadema.

Licha ya kupigwa mabomu ya machozi Catherine Ruge alifanikiwa kurejesha fomu yake ya kugombea ubunge.

Ruge awajibu polisi “Polisi kaeni pembeni tuacheni huu mziki na CCM,” aliandika katika ukurasa wake wa twitter.


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bebii, umependeza. Hii rangi ni nyekundu au Waridi?

    Bebi angaliaSerengeti kuna FARU..!!
    ₩akiongozwa na Faruu Rajabu.

    Faru Joni, si ulisikia kaleta Kizaaza
    Jijini Dodoma usiku wa kuamkia tarehe
    tisa.

    Bebi, Jibebishe basi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad