Mussa Zungu ashinda kura za maoni jimbo la Ilala



Matokeo kura za maoni CCM jimbo la Ilala, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mussa Zungu amepata kura 148. 


Mussa Zungu -148 

Sophia Mjema -103 

Mendrad Mpangala- 07


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad