Mwanamke Shujaa Aliyemuokoa Mtoto Nyumba ikiwaka Moto, Mwenyewe Afariki



Imewasikitisha wengi walioitazama ambapo pamoja na kuhuzunisha, Mwanamke huyu aliyemrusha mwanae kupitia kibarazani ametajwa na wengi kama shujaa, ni tukio la moto kuunguza nyumba gorofa ya tatu huko Phoenix, Arizona Marekani ambapo inaripotiwa ndani ya nyumba alikuwepo Mama na Mtoto na kwenye hii video Mama anaonekana akimuokoa Mtoto wake kwa kumrusha chini kupitia kibarazani.
Kwa mujibu wa ABC NEWS, Mama huyo alifariki kwakuwa alikua ameungua sana lakini alipambana na kuhakikisha amefika kibarazani na kumrusha Mtoto wake chini ambapo alidakwa na Watu wawili kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini, Mungu amlaze pema. (tahadhari video inaogofya)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad