Mwijaku Atoa Mpya Akiomba Kura "Kilichotokea Jana Nimeona Siwezi Kushinda"
0
July 21, 2020
Mtangazaji na mwigizaji Mwijaku amesema matokeo ya kura za maoni ya wagombea ubunge CCM yaliyotoka siku ya jana yamemkatisha tamaa na kwamba ameona hawezi kushinda.
"Kilichotokea jana nimeona siwezi kushinda, nimewaambia wajumbe wamchague yule wanayemuona anafaa, nimeona jana kilichotokea mgombea ameshangiliwa lakini amekosa kura"
"Watu wa Kawe sijawaelewa hawajawauliza kabisa maswali wagombea, sijapendezwa kabisa" Mwijaku
Tags