Matokeo kura za maoni CCM jimbo la Kasulu, Kigoma. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameshinda kwa kura 405.
Ndalichako - 405
Sanzu - 80
Onesmo - 1
Husen - 1
Patric - 1
Hamadi - 1
Ogenzi - 2
Mteule - 2
Basha - 3
Muhanuzi - 3
Mahesha - 1
Ngenzi - 1
Baraka - 0
Onesmo - 0
Kidalo - 0
Mda - 0
Bugui - 0
Abdala - 0