Nina ulevi wa kununua totoz, nikijaribu kuacha nashindwa




Mimi ni kijana 30 years, nimekuwa addicted na kununua totoz wakuu. Nimenunua sehemu nyingi sana. Kwanza Rwanda mitaa ya Magerwa, Lemela, Gisenyi kwa Bongo pande za Sinza Corner Bar, Buguruni, Masakuu, Mbagala na Manzese Weekend Pub. Kiukweli barmaid na wale wa kununua ndo chakula changu.

Kila nikijaribu mademu wa kawaida tunaachana kutokana na mizinga inayopigwa, so najikuta narudi kwa wale wa kununua na barmaid.

Wakuu nataka nijitoe kwenye mtego huu, nipeni solution.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad