PAUL Makonda "Nimewasuluhisha Mara 3, Shilole Akasema Nitakufa
0
July 09, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam @baba_keagan amesema siku ya jana baada ya Shilole kuachia picha zinazuonesha amepigwa Uchebe alienda nyumbani kwake.
RC amesema tayari wameshakaa vikao zaidi ya vitatu vya kusuluisha ugomvi wa Uchebe kumpiga mke wake lakini mwanaume huyo amekuwa akiendelea kufanya hivyo.
Amesema tayari vyombo vya ulinzi na usalama vimeshachukua mkondo wake kuhusiana na tukio hilo.
RC Makonda amesema hayo muda mchache baada ya kufanya mazungumzo na Mkuu mpya wa Wilaya ya TEMEKE, Gondwe...MSIKILIZE HAPA RC MAKONDA KISHA DROP COMMENT YAKO
Tags