PICHA: Quick Rocka Katika Muonekano Mpya Bila Rasta


Msanii Quick Rocka (Swicher Baba) ametuonesha muonekano wake mpya baada ya kunyoa rasta zake alizokuwa amedumu nazo kwa muda mrefu, kupitia ukurasa wake wa Instagram gram Quick Rocka ametuonesha picha Tatu tofuati zinazomuonesha katika muonekano mpya na kuwafanya mashabiki kumpongeza huku wengine wakitamani ule muonekano wake wa awali.

Baada ya kupost picha hizo Quick Rocka hajaacha kumshukuru mtu aliyemshawishi yeye kufanya hivyo ambapo amemtaja kuwa ni Lamata ambaye amekuwa akihusika kwenye kazi za utayarishaji wa filamu…
” To New Destinies…. 🙏🏾
Thanks dada manager kwa Motivations,I’m Blessed to have a sister like you @lamataleah “ – Quick Rocka

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad