Web

Pozi la Steve Nyerere baada ya kuambulia kura 6



Msanii wa filamu nchini Steve Nyerere ameonekana kama mtu ambaye ameishiwa nguvu baada ya kushindwa katika kura za maoni wakati akiwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Iringa mjini.

Licha ya ahadi alizotoa Steve Nyerere aliambulia kura sita (6) katika kura hizo za maoni kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.


 


 


OPEN IN BROWSER

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Atleast, Kamuoneshaa Kibeko kuwa nnaweza na Jimbo sisi Kijani tunalichukua... Steve Oyeee!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad