Prof Lipumba Apitishwa na CUF kuwa Mgombea Urais


Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CUF wamempitisha Prof. Ibrahim Lipumba kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28, 2020.

Kura zilizopigwa ni 789, zilizoharibika ni 21, zilizosema Hapana ni 12 huku zile zilizokubali kumpitisha Prof. Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hicho kuwa Mgombea zikiwa 756

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad