Rais wa Burundi Amtunuku Jakaya Kikwete Medali
0
July 02, 2020
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amemtunuku Medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani Burundi, Medali hiyo ilipokelewa na Balozi Jilly Maleko wakati wa hafla ya kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Burundi.
Tags