Roma Aamua Kuwa Unfollow Watu Wote na Kuifollow CCM
0
July 21, 2020
Staa wa HipHop Tanzania , ROMA ameamua ku-unfollow watu wote kwenye Ukurasa wake wa Instagram , na kukifollow Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee.
Roma ni Kati ya Marapa wanaosifika kutokana na kuimba Nyimbo nyingi za harakati na Ukombozi , hivyo haijulikani ni sababu zipi zilizomfanya Mkali huyu kuchukua uamuzi huo.
KWA HABARI, LIVE TV, RADI
Tags