Sho Madjozi wa Afrika Kusini Asainiwa na Label ya Epic Records ya Marekani


Mwimbaji @shomadjozi wa Afrika Kusini amesainiwa na label maarufu duniani, Epic Records ambayo ni kampuni kongwe ndani ya Sony Music Entertainment.

Sho Madjozi ambaye kwa miaka michache tu amejizolea umaarufu mkubwa barani Afrika na dunia, hutumia lugha adhimu ya Kiswahili kwenye nyimbo zake, akitamba na ngoma kama; John Cena, Huku, pamoja na nyingine kibao.

Tayari ameongezwa kwenye orodha ya wakali wa dunia ndani ya label hiyo akiwemo; DJ Khaled, Camila Cabello, Maria Carey, Jennifer Lopez, Rick Ross, Travis Scott, T.I na wengine kibao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad