Mechi ya jana aliefungwa si Yanga bali kocha wa Yanga na benchi zima la ufundi sababu za kufungwa. Simba wasijifu hawakukutana na first eleven!!
1. kwanza jana ulikosekana utatu ambao ni injini ya Yanga Mapinduzi Balama, Niyonzima na Feisal wanaomchezesha Morrisson hivyo timu ilikatika katikati na Morrison kukosa wa kumchezesha
2. Yanga ilipaswa kumuanzisha beki Kelvin Yondan mwenye uzoefu na mechi hizi si wageni watupu Makapu na Lamine ambao walimfanya Nickson aonekane ni mwiba kumbe jembe la Yanga halikuwepo nyuma Yondani
3. Kwakuwa ni mechi Simba walikamia pembeni kushoto alipaswa kukaa Adeyum kulinda na si Jafari aliepanda na kupoteza ukabaji Simba wakajinafasi kujifanya wajuaji sana wakati mechi iliyopita walikaa chini!!
4.Deus Kaseke alipaswa kuingia sub na Sibomana fundi mwenye kasi na ari kubwa angeanza 5. Mbele Yanga ilikufa Sababu ya kumkosa Ditram Nchimbi huyu alipaswa kuanza na si kusubiri timu ishaaibika ndo aingie!! Molinga alionesha kuwa butu tangu mwanzo ilipaswa atolewe mapema kipindi cha kwanza kwakuwa alikuwa pia mzigo kwa kutokukaba 6. Tshishimbi hakuwa mchezoni alipoteza mipira mingi dakika za mwanzo ilipaswa atolewe mapema aingie kiungo Mkabaji Makame mwenye ari na uchungu na timu 7. Timu ilishafungwa kipindi cha kwanza haikupaswa kurudi yote uwanjani waliozidiwa Molinga, Lamine, Tshishimbi na Jafari hawakupaswa kurudi hili ni kosa kubwa la kocha 8. Niyonzima pia siku haikuwa yake alipaswa kupumzika mapema aingie Ngasa
9. Refa aliwabeba Simba ambao kila physical battle walijilegeza na kujiangusha na kumdanganya refa na pia linesman alionesha offside moja ya Yanga mwanzoni mwa mchezo kwa kuwa hakuwa akienda na move alikuwa mbele. marudio ya picha ya video yalionesha mchezaji wa Yanga hakuwa ameotea
Jana kafungwa kocha Luc kwa kupanga timu mbovu na pia kukosekana Mapinduzi pengo limeonekana
Kocha anaweza kutuachia timu yetu kama vipi!!
Mimi ni shabiki wa Yanga Makusudi Lubosangija Mwanza
atakaesoma hii comment namuomba aifikishe kwa kocha wa Yanga!!
Mechi ya jana aliefungwa si Yanga bali kocha wa Yanga na benchi zima la ufundi sababu za kufungwa. Simba wasijifu hawakukutana na first eleven!!
ReplyDelete1. kwanza jana ulikosekana utatu ambao ni injini ya Yanga Mapinduzi Balama, Niyonzima na Feisal wanaomchezesha Morrisson hivyo timu ilikatika katikati na Morrison kukosa wa kumchezesha
2. Yanga ilipaswa kumuanzisha beki Kelvin Yondan mwenye uzoefu na mechi hizi si wageni watupu Makapu na Lamine ambao walimfanya Nickson aonekane ni mwiba kumbe jembe la Yanga halikuwepo nyuma Yondani
3. Kwakuwa ni mechi Simba walikamia pembeni kushoto alipaswa kukaa Adeyum kulinda na si Jafari aliepanda na kupoteza ukabaji Simba wakajinafasi kujifanya wajuaji sana wakati mechi iliyopita walikaa chini!!
4.Deus Kaseke alipaswa kuingia sub na Sibomana fundi mwenye kasi na ari kubwa angeanza
5. Mbele Yanga ilikufa Sababu ya kumkosa Ditram Nchimbi huyu alipaswa kuanza na si kusubiri timu ishaaibika ndo aingie!! Molinga alionesha kuwa butu tangu mwanzo ilipaswa atolewe mapema kipindi cha kwanza kwakuwa alikuwa pia mzigo kwa kutokukaba
6. Tshishimbi hakuwa mchezoni alipoteza mipira mingi dakika za mwanzo ilipaswa atolewe mapema aingie kiungo Mkabaji Makame mwenye ari na uchungu na timu
7. Timu ilishafungwa kipindi cha kwanza haikupaswa kurudi yote uwanjani waliozidiwa Molinga, Lamine, Tshishimbi na Jafari hawakupaswa kurudi hili ni kosa kubwa la kocha
8. Niyonzima pia siku haikuwa yake alipaswa kupumzika mapema aingie Ngasa
9. Refa aliwabeba Simba ambao kila physical battle walijilegeza na kujiangusha na kumdanganya refa na pia linesman alionesha offside moja ya Yanga mwanzoni mwa mchezo kwa kuwa hakuwa akienda na move alikuwa mbele. marudio ya picha ya video yalionesha mchezaji wa Yanga hakuwa ameotea
Jana kafungwa kocha Luc kwa kupanga timu mbovu na pia kukosekana Mapinduzi pengo limeonekana
Kocha anaweza kutuachia timu yetu kama vipi!!
Mimi ni shabiki wa Yanga
Makusudi Lubosangija
Mwanza
atakaesoma hii comment namuomba aifikishe kwa kocha wa Yanga!!