Steve Nyerere Afunguka Baada ya Kura za Maoni "Ningeiweka Wapi Sura Yangu Kama Ningepata 0"



Kutoka kwa Steve Nyerere Ameandika Haya:

 " Kwanza Michukue nafasi hii kusema asante Mungu kwa kila jambo, Hakika nimeona uwezo wako nimeona nguvu yangu nimeona kipaji changu nimeona jinsi gani Baba anavo nipigania kwenye kila jambo, Niseme Asanteni sana wasanii wenzangu mlio nikimbilia kwenye hili, Asante marafiki zangu ndugu zangu Pamoja na Waandishi wa habari wote nasema bila nyie mimi siwezi, Niseme asante kwa chama changu Viongozi wote wa mkoa wa Iringa wakiongozwa na Ali Hapa @salimasas @atufigwege Na viongozi na wanachama wote wa CCM niseme tu Kukosa kura sio sababu ya kuacha mapambano Mtashilikiana na mgombea kuhakikisha jimbo linarudi lakini kikubwa zaidi ni kutafuta ushindi wa hali ya juu wa chama cha mapinduzi, kuanzia kura za Rais mbunge mpaka Diwani, Narudia tenaa asante Iringa hakika nimejiona wa thamani sana tulikuwa watu 57 wagombea katika hao wote mimi Steve nyerere nimekuwa mtu wa 9 wangine wote kura 1 wangine ziro ivi ningekosa kabisa ningeweka wapi sura yangu asante wana iringa hata hichi kidogo mlichonipa kwangu ni heshima pia,."

MAONI YAKO??

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad