Tarimba Aongoza Kura za Maoni CCM Kinondoni



MTIA nia wa ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Tarimba, ameongoza matokeo ya kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 171 na kuwabwaga waliowahi kuwa wabunge katika jimbo hilo Idd Azzan kura (kura 70) na Maulid Mtulia (kura 11), George Wanyama amepata kura 32, Zamaradi Mketema (kura 2) na wengine.

Jumla ya wagombea 79, jumla ya wajumbe walikuwa 402.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad