Aliyekuwa mpenzi wa Aslay na Mama Mtoto wake amefunguka kuhusu uvivu wa wanaume wa siku hizi katika suala la kutongoza , amesema haya
"Wanaume wa siku hizi wamekuwa wavivu sana wa kutongoza, ukimkazia kwa masaa mawili tu anakata tamaa huta msikia tena, ukweli hawajui kuwa wanawake tumeubwa kuringa kidogo sometimes ukimkubali mtu haraka haraka unaonekana malaya' Tessy Chocotate