Tumeshalipa Zaidi ya Tsh. Bilioni 800 kwa Ajili ya Korosho- JPM



“Tumeshalipa zaidi ya Tsh. Bilioni 800 kwa ajili ya korosho, tumemaliza na hii Tsh. Bilioni 20 (iliyotolewa juzi), tuendelee kushikamana na Serikali yetu na tuendelee kuchapa kazi, Mtwara na Lindi ya sasa sio kama ya kipindi cha nyuma, zinapendeza, zinafurahisha” - JPM njiani kuelekea DSM akitokea kwenye mazishi ya Rais Mstaafu Mkapa Mtwara
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad