HomeSiasaVIDEO: Mgombea Atumia Lugha Ya Kichina Kuomba Kura Jimbo La Kawe VIDEO: Mgombea Atumia Lugha Ya Kichina Kuomba Kura Jimbo La Kawe 0 Udaku Special July 21, 2020 Uchaguzi wa kura za maoni kwenye Jimbo la Kawe Dar es salaam unaendelea muda huu ambapo Watia nia mbalimbali wanajinadi mbele ya wajumbe. Mtia Nia namba 75 yeye kaamua kutumia lugha ya kichina kufikisha ujumbe wake ==>>Tazama hapo chini Tags Siasa Newer Older