VIDEO: Watanzania Kaeni Mkao wa Kula Rais Mwanamke Nakuja-Queen


Mwanachama wa Chama cha ADC  Queen Cuthbert Sendiga leo ametangaza rasmi  nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kukidhi kanuni na utaratibu wa chama chake huku akiwahimiza watanzania kukaa mkao wa kula.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad