VIDEO:Shududia Jinsi Tukio la Zuchu Lilivyorudisha Mapenzi ya Wema na Diamond..Wakumbatiana na Kucheza Kwa Furaha
0Udaku SpecialJuly 19, 2020
Hivi ndivyo WemaSepetu X DiamondPlatnumz Walivyokumbatiana na Kucheza Kimahaba Kimahaba Sanaa Katika Hafla ya Zuchu... Tukio Hili linaashiria kuwa Wamemissiana Sanaa
..Hebu Shuhudia hapa Kisha Drop comment yako Kwako