Waziri Majaliwa apita kura za maoni jimbo la Ruangwa
0Udaku SpecialJuly 22, 2020
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepita bila kupingwa kwenye kura za maoni katika Jimbo la Ruangwa Mkoani Lindi, hii ni kwasababu Majaliwa alikuwa ni Mgombea pekee kwenye Jimbo hilo