Waziri Mwakyembe Chali Kura za Maoni Jimbo la Kyela Mkoani Mbeya
0
July 21, 2020
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe, amekuwa mshindi watatu katika uchaguzi wa kura za maoni katika jimbo la Kyela lililopo mkoani Mbeya.
Mwakyembe ambaye alitia nia ya kutetea jimbo la Kyela ambalo amekuwa akiliongoza alipata kura 252 katika matokeo ya uchaguzi uliofanyika jana.
Tags