Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule
Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:
Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.
Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!
NI KWELI KABISA
ReplyDeleteivi kuolewa nako ni deal??nyooo
ReplyDeletewatu kama nyiny ndo mnaoiba waume za wenzen ila nikwambie tu ukwel hawara utabaki tu kuwa hawara tu
DeleteKuolewa n zaid ya deal ila utakuwa unaxema hvo either uliolewa ukaachika au ndoa yako ina migogoro mwanamke anakamilishwa na mwanaume so Admin amejaribu kutoa sifa anazotakiwa kuwa nazo mwanamke ili aolewe congrats Admin Girlz weng n pretenders wanaishi maisha ya kwenye tamthilia za kifilipino
ReplyDeleteembu nitumie namba yako ya m-pesa
Deleteembu nitumie namba yako ya m-pesa
ReplyDeleteKuolewa deal tena kuna utamu usioisha hamu
ReplyDeleteKuolewa ni deal sana 2 yani
ReplyDelete