Abdallah Mtutura ajiondoa CCM ajiunga ACT Wazalendo


Leo tarehe 21 Agosti 2020, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tunduru (na baadaye Tunduru Kusini) kwa tiketi ya CCM (2007-2015) Ndugu Mtutura Abdallah Mtutura amehama CCM na kujiunga na ACT Wazalendo. Ndugu Mtutura amekabidhiwa kadi ya ACT Wazalendo na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu katika Ofisi ya ACT Wazalendo Tunduru.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad