Leo nimeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka masharti lukuki tena magumu Kinoma
Mara nataka Mwanaume Handsome, Mcha Mungu, mwenye elimu ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.
Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je wewe ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumbani?
Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumbani na huna mume wala mchumba inabidi ujiulize mara mbili ulikosea nini huko nyuma Kwasababu Kupata Mume umri huo kwa sasa ni Bahati , Wengine Kabisa wanakataa wachumba wakiwa kwenye early 20's Wakijua watastay young Forever...
Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake eti nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu wewe umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?
Mimi nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.
KWAHERINI
Akina Dada Msijidanganye la Sivyo Mtaishiwa Kufunuliwa tu Mpaka Akili ziwakae Sawa
35
October 20, 2024
Tags
Na hii nayo safi sana admin,nimependa, sio hayo makorokocho ya
ReplyDeletema-super star uchwara wasiojiheshimu,hongera.
ameaga kwa kusema """KWAHERINI"""na mimi nasema""KARIBU''""
ReplyDeleteSafi sana sana mkuu,big up sana
ReplyDeleteUkiona mtu kaa mpaka miaka hiyo hajaolewa ujue hana shida ya kuolewa....na ndio maana anatoa masharti ya aina ya mwanaume wa kumuoa siyo tu kukurupuka tu kuolewa yaani ewe bora kuolewa...mm naona bora nikae miaka yote nyumbani kuliko kuolewa na mwanaume gumegume...mijanaume mingi siku hizi ni magumegume bora niyabadilishe tu kila mtu achukue time yake
ReplyDeleteWanawake vikwekwe je
DeleteMsijali sana tukifunulifunuliwa tunasikia raha sana! Tunatumia nyuchi zetu na wala si pumbu zenu! K??
ReplyDeleteHahaaa bila kufunuliwa tutajuaje vibamia na matango pori? Tuacheni tupate experience tusijeolewa na vibamia!
ReplyDeleteTunataka hela, tafuteni hela msituletee ukapuku wenu tuolewe na kuzeekea kwenye jiko la mkaa!
ReplyDeletekuolewa n hyari we admin.au hujui ulichokiandika?kuolewa sio sifa oh!we unadhan kwa tarifa yako kuna wanaume wanaoweza kuish na wake kama zamani?wanaume wa sku izi ni vimeo wapenda kutaftiwa na kukaa kaa tu!alafu kulewalewa tu*clab kwa sana yan n vtuko kwa kweli.hata hawatamanishi kuolewa nao.hata mapenz hawajui ah.
ReplyDeleteAsilimia tisini ya wanawake wanatamani kuolewa hizo kumizimegawanyika tano ni wale madume jike na tano ni yale manungayembe yaliyo kata tamaa ya kuolewa kabisa!sasa nyinyi hapo juu sijui mko fungu gani!mtujuze.
ReplyDeleteAsante mdau,
DeleteNina rafiki yangu tumesoma wote kuanzia pr/sch,tukawa chuo pamoja,tukapata
nafasi ya kwenda nje pamoja kwa hiyo alikuwa kama ndugu.Mimi nilianza kuolewa, na wakati mimi naolewa alikuwa F/G wangu,na ndie aliyekuwa mzuri kuliko wote( 6 ) na hata tabia yake kwa kweli ni nzuri,Mara baada ya harusi yangu,wakaka wengi walimtaka kwa kumuoa na wengine kupitia kwangu,lakini rafiki huyu alikuwa anachagua kwa kutaka wasomi zaidi hata kumzidi yeye na kwamba hawezi kuolewa na mtu anayemzidi elimu,bahati mbaya hakutokea wa namna hiyo,alivyoona umri unazidi kwenda akaanza kwenda kwenye maombi apate mume,kweli ,kakaa kwenye maombi miaka 3,akapata mume ambaye hata si msomi,na kazi yake anauza duka uhindini.Napinga hii habari ya kusema eti mtu akikaa muda mrefu bila kuolewa ujue hana shida ya kuolewa.Hayo ni maneno ya mkosaji,tusidanganyane wanawake.
Baada ya harusi yangu tu wale nilipata shida
Wanaume wengi wako desperate na maisha, vyuo wamemaliza, kazi hawapati, kujiajiri hawana mtaji, wanatamani wasichana wazuri, lakini hawawezi kuwa afford! Umri unaenda, hawana makazi bora, plots za mjini zimechukuliwa na wajanja, wao inabidi wakanunue peripheral, ndiyo mwisho wanabaki kudiscuss wanawake waliowatolea nje! Umaana wa mwanamme ni ATM na muhogo wa jang'ombe!
ReplyDeleteKama mwanaume huna hela ni sawa na bunduki isiyokuwa na risasi! Sasa ninyi wa kibongo wengi ni wachovu, mnanuka kikwapa, halafu mnataka tuolewe na ninyi? Mtuzeeshe, mtuchakaze, mtufuje, halafu mtubebeshe zigo la kulea family, tushastuka, siku hizi hatuzeekei home, wengi tuna apartments na Nyumba tulizohongwa na ma CEO, tuna drive Magari makali siyo vi babe walkers vyenu, mtatuwezea wapi? Endeleeni kutokwa udenda hamtuwezi!
ReplyDeletemwanamke anayetaman kuolewa ni yule aliyekataa tamaaa ya maisha anatafta msadaa kwingine, kwa upande wangu marriage is just an option km naweza nkakidhi maisha yangu mwenyewe what else ? mie kiukweli sitaman kuishi na jitu miaka nenda milele, life depends how u see it.................wala kuolewa sio basic kwamba if i lack am may loose something mostly important i can sustain my basic needs hyo ya kukudliwa aint a problem nkikitaka hata mchina, zeru zeru, mzungu napata provided am independent with my life.......................................................
ReplyDeleteWell said 9:44..... hivi nina gorofa yangu Mbezi Beach, nina nyumba zangu za kupanga town zisizopungua 10, nimeajiriwa ninasafiri nje ya nchi kama ninaenda sokoni, eti nianze kusaka vinuka mkojo hata akikupa mimba atakuambia nenda clinic mwananyamala! Subirini sana, tutafika 70 nini 30! na watoto tutazaa tutalea wenyewe! Hakuna sababu ya kuolewa na mwanaume asiyeweza kukidhi mahitaji BORA ya familia! Ninyi jioeni wenyewe!
ReplyDeleteUkiona wanawake wengi hawaolewi ujue wanaume wa kuwaoa hawapo! Mwanaume anayefaa kuwa mume ni mwenye sifa hizi,
ReplyDelete1. Mwenye bright future
2. Mpambanaji wa maisha siyo kilaza fulani, kazi majungu na mipira huku anaishi kwa Shemeji au chumba kimoja Tabata mwaka wa 3!
3. Awe msafi kwa muonekano, anayejua kujipigia pasi na kujifulia!
4. Asiyependa kuombaomba au kukopa kwa wanawake, hizo ni dalili tosha akikuoa atakuachia kazi ya kulea familia!
5. Mtafutaji kwa bidii siyo akili imelala mpaka Inaukungu!
5. Mcheshi, mwema, anayeishi na Jirani na ndugu vizuri,
6. Asiyekubali umasikini kabisa
Wanaume wa caliber hiyo ni wachache sana! Ila wanawake wanaojitambua ni wengi! Jitambueni na mbebe majukumu yenu muone kama hatitaolewa! Shida ni kwamba wengi wenu ni wanaume kama mabinti, ndiyo sababu tunaogopa kuolewa na wanawake wenzetu jamani! Halafu wengine mmeamua kuwa mashoga hamuoni idadi inazidi kupungua? Kweli mnatupa stress ninyi vilaza!
ReplyDeleteHahaaa nilipata mchumba mmoja mi nina 26 yeye ana 35! Cha ajabu anaishi kwa ndugu yake, halafu ananiambia anataka kunioa, nikamuuliza ukinioa tutaishi wapi? akawa anakwepa swali! mwisho wa siku akaniambia nikubali tuishi wote kwako! Ni graduate huyo lakini hata akili ya kupanga nyumba ajitegemee hana! Kazi anachagua mpaka kesho hajapata! Tukitoka outing bill ikija hana hata c 5, au anasema nikopeshe nitakulipa na halipi! Nimemwambia tafuta shule ufundishe angalau upate vijisenti vya kujikimu hataki! Mwishowe nikapiga chini zigo la mavi hilo! kazi yake ni kujisifia nitakutom.b vizuri! Nyambafff
ReplyDeleteMarioo nao ni wanaume wa kutuoa? Nauliza tu swali! Idadi imekuwa ndogo, asilimia kubwa ni futureless, wengine ni marioos na mwisho wamegeuka mashoga! Tutazeeka tu wallah bila ndoa!
ReplyDeleteHivi huko kwenye ndoa kuna nini cha zaidi mnachotunganganiza tukimbilie??? Zaidi ya SLAVERY kuna nini cha zaidi? Kuheshimu wake zenu hamuwezi, kuwanyanyasa, kuwachakaza na kuwafuja, kuwatumikisha na mwisho kuwa damp! Halafu mnatategemea sisi tukimbilie kichwakichwa? Lipi mlilonalo jema ninyi African men? Mapenzi hamjui na hela hamna! Mnataka tuolewe tuteseke ndiyo mseme ndoa? Jioeni wenyewe! Sisi bado tunacarriers na ambitions tunazichase! Tumegundua ninyi si lolote zaidi ya Mbegu za kiume!
ReplyDeleteNdoa ya kiafrika ni utumwa! Kuzeekea kwenye sinki la vyombo na jiko la mkaa! Binti usikimbilie mpaka uwe na kazi yako au biashara! Usilogwe kuacha kazi, eti mume atakusaidia! Wengi hawajiwezi akili zimelala! Kama yameshindwa kulinda rasilimali za nchi yetu zinaibwa na wanaume wa kweli kutoka ulaya na uchina, ndiyo wataweza kuprovide security kwa familia? Chagueni sana, msibebe mizigo ya misumari, imejishindwa sasa inatafuta pa kuponea! kimbieni kama ukoma!
ReplyDeleteOprah is my role model! Kapungukiwa nini? Nambie Oprah na mke wa mtu aliyeletewa mitoto ya mchepukoni ailee na kila siku ni kukopa dukani kwa mpemba nani ana afadhali? Mimi nina 35 niliolewa nikiwa 24, nimezaa watoto 4, lakini ukiniweka na Oprah mimi nimezeka na kuchoka utadhani namzaa Oprah! mume kanifuja, kanizalisha na kututunza kashindwa kabisa! Najuuta kuolewa! niliacha chuo nikakubali kuolewa mapema!
ReplyDeleteDuh mi naolewa nimefika 30 ila huyo mchumba ni majanga! hata sabuni hajawahi kuninunulia! Nina buzi CEO sehemu ataendelea kuwa mume mwenza! Huyu wangu hajitambui ila ndo hivyo umri umesonga nabeba hata garasa! pole yangu!
ReplyDeleteHuyo rafiki yako ni kama miye! Nimekosa type yangu sasa naolewa na kishoiya kimoja hivi! Wanaume wa maana ni wachache mno! Tunateseka sana kupata wanaume! inabidi kusettle for less! A degree holder versus standard 7! Ni majangaa! Ni vile imani inakataza kuzaa bila ndoa! na wengi tukishazaa watoto wawili watatu ndiyo tunaanza kuwaza kusepa kama mume bado ni mburula
ReplyDeleteHakuna sehemu wanawake tumesema hatutaki kuolewa! Wote tunataka lakini tunatumia akili na utashi kuchagua mume! Haiwezekani wanaume wakaweka vigezo vya kutafuta mke halafu sisi tukiweka tunaonekana tunachagua sana! Hata wao mwanamke shapeless hawamtaki! Na sisi mwanaume futureless hatumtaki! Kwa nini sisi tusome sana halafu wao wasisome? Kwa nini tuoane na vihiyo kama wasomi wapo? Lazima tujiwekee malengo, ila bahati mbaya hao tunaowahitaji ni wachache mno, ndiyo sababu tunaolewa tu na hata fundi viatu! Matokeo yake ndoa hazidumu! Ki asili mwanaume kama mtawala anatakiwa kumzidi mwanamke, kiakili na maarifa! Mwanamke akikuzidi wewe moja kwa moja sifa ya uongozi unaipoteza! Amini usiamini! Not us it's nature
ReplyDeleteHaya nyie kazaneni kudanganyana, mtasagwa hadi na kuku, heshima ya mwanamke ni ndoa msidanganyane labda mmekosa wa kuwaoa
ReplyDeleteHeshima ya mwanamke ni ndoa bora! Siyo bora ndoa! Kwa maana hiyo tumekosa wanaume BORA wa kutuoa! Mmebaki migumegume isiyo na shughuli ya kufanya, inasubiri kuolewa na wanawake! mxiuuuuuuu!
ReplyDeleteAccording to whom! who sets the standards kwamba heshima ya mwanamke ni ndoa? Peleka mfumo dume wako huko! Heshima ya mwanaume ni uwezo wa kuitegemeza ndoa na kuhakikisha provision ya basic needs ipo constant! Pili heshima ya mwanaume iko katika maumbile ya kiume na jinsi ya kumridhisha mwanamke kitandani! Kama huna hivyo viwili anza kuvaa gauni tukutane kwenye vigodoro!
ReplyDeleteHii mianaume ya sasa inakopa hata mahari?? Halafu mnategemea wanawake wasizeeke nyumbani? Manake hata hela ya kumtoa kwao hamna! mnataka kukopeshwa hata mke! Aibu sana
ReplyDeleteKama ndoa ni jambo la maana wake zenu tusingepigania nao mabuzi huku maofisini! Tunanyanganyana na kuwekeana mabieef na wake za watu kibao! Na upande wa wanaume ndoa ingekuwa ya maana kusingekuwa na Nyumba ndogo na michepuko kibao! Kila mtu aishi maisha yake, hatujaona la maana sana huko kwenye the so called ndoa! Unafiki mtupu na usanii!
ReplyDeleteDuh! wanawake mmepaka siyo mchezo! Hamjabakiza kitu! Kazi kwao! Ila kuna wanaume wachache saaana wanaojitambua, wanajiheshimu na wenye kubeba majukumu kama wanaume! I salute you! Wachache mno lakini! Kati ya wanaume 10 wa kibongo mmoja ndiye mwanaume wa kweli! 9 waliobaki ni uharo!
ReplyDeleteMhhh mi mwenyewe mgeni hapa. Napita tuu!! Hongereni kwa marumbano teh teheee
ReplyDeleteMungu atusaidie na kutufundisha cha kuandika na kusema,siamini kama ni dada zangu na kaka zangu wameandika haya yote ,wakubadilika abadilike hizi ni alama za nyakati ,BONGO watu wamekuwa wazi kweli wakupona apone ,nawatakia maisha mema msikate tamaa kiasi hicho,maisha ni mipangilio na kumwomba Mungu atusaidie kufanya yale mema,dunia imebadilika sana,kweli semina zinatakiwa kwa kukomboa vijana wetu wasiangamie.kwa udanganyifu wa shetani.Mungu anaonekana katika kila eneo ni imani yako tu,ukiona jaribu lako ni kubwa kuliko Mungu ,basi hapo unaukataa uweza wa Mungu.
ReplyDeleteMengi mmesema kuna mazuri ya kujenga na mabaya yasiyostahili hata kusikika. Ni vizuri kupata shuhuda za wanawake waliothubutu kushare ya moyoni ila wanapozidi kukosea ni kosa lao la kudumu kutaka kuwatawala waume zao jambo ambalo kwa mwanaume anayejitambua na kufahamu majukumu yake katika familia haitakuja itokee hata mapaka siku ya kihama itakapofika. Hesabu mnazikosea zaidi pale mnapotendwa na kuhukumu kwamba wanaume wote ni walewale au kutamani mwanaume atakayekupatia mahitaji ambayo hata kwenu penyewe hujawahi patiwa. Hatima yake mnaishia katika mifumo ya maisha ya kikahaba na watu wa kutumika tumika sababu hata hao wanaowatumia hawawezi kuwahalalisha sababu ni kukwepa aibu ya kuonekana kahaba. Tatizo la wanawake wengi kwa sasa tamaa na njaa wamezitanguliza mbele kuliko utu wao ndo maana wengi mnaishia kuchezewa na waolewaji ni wale wachache wanaojitambua. Ndoa ni muungano, mume na mke kila mmoja ana wajibu wake. Isifikie mahali wanawake wanataka kutengeneza masharti ya kuolewa utafikiri wapo mbinguni. Sifa mnazoziweka mtasubiri sana labda mtengeneze wanaume wenu wenyewe na kwa bahati mbaya uwezo huo hamna ni wa Mungu pekee yake. Uvumilivu na heshima hamna tamaa ndo zimewajaa mtatembea na baba zenu mpaka babu zenu. Mwanamke utakuta kashashindikana toka kitambo na yeye naye nahitaji mume mwenye sifa hizi kwa kifupi hiyo itakuwa ngumu labda mpaka mtakapojirekebisha. Tatizo kubwa wanawake wengi wa sasa mnataka maisha ya maigizo kitu ambacho hakiwezekani, ujuaji mwingi na madai kibao mwisho wa siku hata majukumu yao wanajikuta wameshayasahau. Mkishayavuruga ndo mnakimbilia nataka mume wa sifa hizi, kwani yeye ndo yupo tayari kurithi mambo yako ya uibilisi.
ReplyDeleteNatafuta mwanamke atakayenipenda umri sio zidi miaka 29 kwenda chini mwenye kipato chake mim ni mfanyabiashara umri wangu 32
ReplyDelete