Alexander Mnyeti kugombea Ubunge Jimbo la Misungwi Mkoani Mwanza


Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Misungwi Mkoani Mwanza katika Uchaguzi Mkuu wa October 28,2020, Jimbo la Misungwi lilikuwa chini ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Charles Kitwanga.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad