Ali Kiba "Siitaji Body Guard Mungu Atanilinda"

Msanii wa Bongofleva, Alikiba amesema kuwa kamwe hatokuja kuwa na bodyguard maishani mwake kwani haimsaidii kitu. Ameongeza kuwa mlinzi wake yeye ni Mungu.

" Hata nikiwa na mabodyguard 100 haisaidii kitu, mtu akitaka kuniua ataniua tu. Mimi sihitaji mabodyguard kwa sababu nalindwa na Mungu.. "

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad