Aliyekiwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola Akatwa Kuwa Mgombea Ubunge

‪#UchaguziMkuu2020 :Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kimemkata aliyekiwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola na kumteua Charles Kajege kuwa mgombea Ubunge wa jimbo la Mwibara Mkoa wa Mara.‬
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad