Aliyekuwa kamishina wa Mamlaka ya mapato TRA, Harry Kitilya na Maafisa wawili wa Benki ya Stanbic Waachiwa Huru

Aliyekuwa kamishina wa Mamlaka ya mapato TRA, Harry Kitilya na Maafisa wawili wa Benki ya Stanbic, Shose Sinare na Sioi Solomon wameachiliwa huru baada ya kulipa faini ya shilingi Bilioni 1.5 walizotakiwa kulipa na mahakama.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad