Babu Tale Amfungukia Marehemu Mke Wake Baada ya Kupita Bila Kupingwa Nafasi ya Ubunge Morogoro


“Ni miaka minne tangu tumepiga hii picha, na ndio siku ambayo tulipoanza kupanga mikakati ya kwenda  kugombea Ubunge katika Jimbo la  Morogoro Kusini Mashariki kwa lengo la kuendelea kutoa mchango wetu katika Jamii” - Hamisi Taletale maarufu kama @babutale 


“Leo mwenzangu haupo ila najua uko ulipo unaona Mumeo nimeshinda/nimepita bila kupingwa nikimaanisha kuanzia leo mimi ni Mbunge wa Bunge la JMT anayesubiri kuapishwa tu na nipo tayari kwenda kumsaidia Mgombea Urais CCM Mzee wangu Magufuli kujaza kura zake nyingi za NDIO” -BABU TALE


“Mke wangu nitakukumbuka sana Mke wangu, nitayaenzi yote tuliyokubaliana kufanya, nitakuwa Mbunge Mtumishi wa watu wote na  sitoacha kuisimamia taasisi yako ya ‘NASIMAMA NAO’, Nakupenda mke wangu ningefurahi tungelikuwa wote kusherehekea ndoto yetu, upumzike kwa Amani” -BABU TALE  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad