BAKWATA yawataka waumini wa dini ya uislamu, ukristo na uyahudi kufunga siku tat



BAKWATA yawataka waumini wa dini ya uislamu, ukristo na uyahudi kufunga siku tatu ISHI WETU kuanzia tarehe 29, 30 na 31 mwezi huu ili kuliombea taifa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais

Kauli hiyo imetolewa hii leo Agosti 25, 2020 na Katibu wa baraza la maulamaa BAKWATA na msemaji wa mufti Sheikh Hassan Said Chizenga akisema kuwa jambo hili limeridhiwa na viongozi wa dini zote

Aidha, Sheikh Chizenga kwa niaba ya Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar bin Zubeir bin Ally ametolea ufafanuzi juu ya uhalali wa fedha zilizochangwa na wakristo kupitia raisi wa Tanzania ni halali kujengea mskiti.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad