Biashara miongoni mwa Nchi Wanachama imeongezeka kutoka 5% hadi 25%- JPM


 “Niwapongeze Nchi wanachama na sekretarieti kwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa wakati wa janga hili, kutokana na miongozo na mikakati mbalimbali iliyotolewa, kwa kiasi kikubwa tumeweza kudhibiti ugonjwa huu kwenye ukanda wetu”-JPM
“Tangu SADC ilipoanzishwa hadi sasa Idadi ya Watu imeongezeka kutoka Milion 60 hadi Millon 350 hivi sasa, miundombinu imeimarika, Biashara miongoni mwa Nchi Wanachama imeongezeka kutoka 5% hadi 25%,hali ya maisha na vipato vya Wananchi wetu vimekua,amani na usalama imetawala”-JPM
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad