Breaking News: CHADEMA Wampitisha Tundu Lissu Kuwa Mgombea wa Urais wa Tanzania


Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimempitisha mwanasiasa Tundu Lissu kuwa mgombea Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.

Jumla ya wapiga kura ambao ni wajumbe wa Baraza Kuu - 442, Idadi ya kura zilizoharibika - 0, Idadi ya kura halali - 442

1. Tundu Antipas Lissu - 405
2. Lazaro Samuel Nyalandu - 36
3. Dkt. Mayrose Kavura Majinge - 1
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad