Breaking News: Hatimaye WEMA Sepetu Msamehe Kajala...Unaambiwa CCM Yasababisha

CCM yasababisha Wemasepetu na Kajala Kumaliza Bifu lao.... Wapostiana katika Kurasa zao huku wakiwa wamevaa nguo za Chama hicho

Wema Sepetu Amepost picha ya Kajala na Kuandika
"Tukutane Dodoma...#Magufulitena@Kajalafrida"

Nae Kajala Akaandika haya:
"Tukutane Dodoma#Magufulitena @wemasepetu"

Hii unadhihirisha kuwa wawili hawa sasa wamezika tofauti zao 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad