Breaking News: Msemaji wa Simba Haji MANARA Atengua Kauli yake ya Kujiuzulu Usemaji

#BREAKINGNEWS: Msemaji wa Simba Haji Manara  amefuta kauli yake ya kustaafu akisema kuwa jana Agosti 18, 2020 baada ya kupimwa na madaktari na kumwambia kuwa yupo fiti, moyo, mapafu bado yupo sana Simba, ameomba kauli yake ya mwanzo ipuuzwe.‬
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad