Breaking News: Rais Magufuli Achukua Fomu ya kugombea Urais
0
August 06, 2020
Rais Dk. John Magufuli leo Alhamisi Agosti 06, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa muhula wa pili kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), yaliyopo Njedengwa jijini Dodoma.
Tags