CHADEMA Yaja na Mfumo Mpya “Waliokimbia Watatamani Kurudi”


Mwenyekiti wa chama cha Demorasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amezindua rasmi mfumo mpya wa kidigitali wa chama hicho utakao wawezesha wa wanachama wa chama hicho kujiunga na kupata kadi zao kwa njia ya mtandao bila kufika kwenye ofisiza za chama hicho.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mfumo huo mpya wa kidigitali Mbowe amesema mfumo huo utakuza chama chao na utapima utedaji kazi wa wanachama wake kupitia njia za kigitali.

“Wanaofanya kazi watapimwa kwa mfumo wa ki-digitali, Chama kikazidi kukua, wale waliokimbia Chama hiki wakatamani kurudi. Asanteni kwa  kuja kwenye Mkutano Mkuu wa Chama, nawatakia ushindi mnono katika uchaguzi” amesema Mbowe.

Chadema imezindua mfumo huo wa kidigtali kwa leong la kutizama ukuaji wa chama na utekelezani wa ilani ya chama hichi maeneo mbalimbali nchini bila kuwa na usumbufu wa kutembelea matawi.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni upuuzi tu, Hao WajasiriAmali wa
    hii saccozi ni haki yao kupata kitambulisho kwa Elfu mbili (Tsh 2000)
    ili zisitiwe ndani kama posho n ruzuku
    alivyo babua Faru Nuksi.

    Msikubali kuibiwa ki-Digitali nyie endeleeni ki Analogi.

    Akti Oyeee.. Mbatia Safiii

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad