Diamond, Vanessa wala sahani moja na Burna Boy, Tiwa, Davido kwenye gazeti la Marekani la USA TODAY

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ni miongoni mwa wasanii 10 wa Afrika waliohusika kwenye makala ya tovuti ya gazeti maarufu la Marekani USA TODAY - Liked Beyoncé's 'Black is King'? 10 African artists for your playlist, including Burna Boy and Tiwa Savage

Tazama Hapa:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad