Dodoma: Basi la Ally’s Lateketea kwa Moto




Basi la Kampuni ya Ally’s linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza limeteketea kwa moto eneo la Bahi Mkoani Dodoma leo Jumatano, Agosti 26, 2020. Hakuna taarifa za vifo wala majeruhi mpaka sasa, tunaendelea kufuatilia tutakujuza kwa kina.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad