Ebitoke Amchana Gigy "Mimi Simkubali GIGY Money Anaropoka Ropoka Ovyo"

"Wapo ambao nina tofauti nao ila siwezi nikasema ila kiuhalisia wanawake huwa hatukubaliani, Nikiongelea kuhusu Gigy Money na Nandy kwanza mimi simkubali Gigy halafu huwezi ukamfananisha na Nandy yeye anaropoka kila kitu hawezi kuweka siri, nimewahi kumsikia anaropoka kuhusu mimi na ameni-block tangu naanza kujulikana mwaka 2016, simuogopi na hata moto aliokuwa nao na mimi nauweza" amesema Ebitoke

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad