Exclusive: Bilionea Laizer Kafunguka MAPYA “Walitaka Kunitapeli, Hela Tunagawana”



Bilionea Saniniu Laizer amezungumza kwenye exclusive  interview na Millardayo.com nakusema kwamba kuna watu walimfuata  nakumshauri wakitaka awauzie madini yake ya Tanzanite aliyoyapata nakusema kwamba walitaka kumtapeli akaamua kuyauza kwa serikali

Laizer amesema katika uchimbaji wa madini kuna watu anasaidiana nao na hela aliyoipata sio yake peke yake bali anagawana na watu wengi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad