Fatma Karume Amlipua Tena Msajili Wa Vyama Vya Siasa “Nimesikiliza Nimecheka Sana”
0
August 06, 2020
Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume amesema kitendo cha msajili wa vyama vya siasa nchini kujifanya mlezi wa vyama siasa ni kinyume na sheria na vyama vya saisa vinapaswa kutambua hilo.
Akuzungumza wakati wa mkutano mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo unaendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Diamnd Jubilee jijini Dar es salaam, Karume amesema kisheria msajili ni mtu anayetakiwa kuweka rekodi za vyama na sio kulea vyama.
“Kazi ya msajili wa vyama vya siasa ni kuweka rekodi za vymaa vya siasa sio kuela vyama vya siasa, kama amejipitisha yenye mwenyewe kuwa mlezi wa vyama vya siasa na kuna maku
Tags