Felix Minziro achaguliwa kuwa Kocha Bora mwezi Julai
0
August 06, 2020
KOCHA wa Mbao FC ya Mwanza, Fred Felix Minziro amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2019/20, Minziro amewashinda Amri Said wa Mbeya City na Aristica Cioaba wa Azam, ambapo Minziro aliiongoza Mbao kushinda michezo mitano kati ya sita waliyocheza ndani ya mwezi Julai na kupata sare moja.
Tags