Wagombea ubunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo wa CCM na Godbless Lema wa Chadema wakisalimia walipokutana Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo kutangaziwa walioteuliwa kugombea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020.