Harmonize "Jack Wolper Alisema Hadhi yake Sio ya Kutembea na Harmonize"

Harmonize aliendelea kumwaga stori alisema kuwa kipindi yupo na jack, jack aliwahi kumtaka Diamondplatnumz kimapenzi nakumwambia kuwa atamzalia watoto wakiume yeye hadhi yake sio yakutembea na Harmo, yupo kwa Harmo kwasababu yakuwa karibu na Diamondplatnumz 😭😭😭 ila inauma !!

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad