Harmonize "Nilimuhonga Jack Wolper Milioni 30 na Toyota Crown"

Kwenye Show ya Dodoma jana msanii @harmonize_tz amefunguka kwa kusema yeye ndio alitoa mtaji wa Millioni 30 ya biashara ya duka la Wolper.

Amefunguka kuwa kitu pekee kimefanya jana aongee ukweli ni baada ya Wolper kumuandama sana mke wake Kipenzi na kumwita Sponsor.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad