Hii mpya, Dawa ya Kikohozi inavyotumika Kama Dawa ya Kulevya...Ni Janga

Nasikia huko Nigeria watu wananunua zile chupa za dawa ya kikohozi ya syrup na kuichanganya na cocacola kisha wanainywa ili kupata ulevi. Hii ina madhara makubwa mno kwani ni addictive mno, inaua ini, figo , mapafu na madhara makubwa kwenye ubongo kiasi cha kuleta ukichaa. Hii ikoje lakini?
Wanasema inakilevi aina ya Codeine

VIDEO:


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad