Hii Ndio Gharama ya Kipimo cha Vinasaba (DNA) Kama Unataka Kupima

“Gharama ya kipimo cha vinasaba (DNA) ni Shilingi Laki moja kwa mtu mmoja, kwa hiyo kama wanaohitaji kupimwa ni Baba na Mtoto au Mama na Mtoto gharama ni shilingi Laki mbili” - Fideus Bugoye, Mratibu Kazidata ya Taifa ya Vinasaba vya Binadamu

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ili DNA iwe kamili si wanatakiwa watu wawili? unapimaje peke yako, bora tu mseme ni shiling laki mbili

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad