Huddah 'Mimi Mwanaume Akinisaliti Simuachi..Nitamuacha Akiwa ni Mbahili Mkono wa Birika'

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 20 huko Oakland Detroit Marekani amekutwa hai katika chumba cha kuhifadhia maiti, baada ya awali maafisa wa huduma ya kwanza kumtangaza kuwa amefariki.

Jina na taarifa zake za ziada bado hazijawekwa wazi, na sasa amelazwa hospitalini.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad